Wednesday 27 May 2015

Wananchi watakiwa kutoa taarifa za ukiukaji wa kanuni na sheria za usalama barabarani




https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPCB6vCBFB10ZrKxLXoQSFZD_WDpr7qOBPEqm8UXbglaCw4WTACssOY7VCZH9wJb1nOi0VdbFePElHh2BbMIXErb7wO1pGBQzewQEcEolJr2yC6Gg3Hs1Byyh8ISdh8ekyygUMxxTG8CfW/s1600/001.ROAD.jpg


 Naibu kamishna wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani SACP Johanes
Kahatano(katikati)akiwafafanulia jambo Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na
Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia(kushoto)
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamishna Msaidizi wa Polisi Mohamed
Mpinga, Mkurugenzi wa Radio One Stereo, Deogratius Rweyunga kuhusiana na kampeni ya kuzuia ajali barabarani inayojulikana
kama“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema”
kupitia namba 0800757575.Kampeni hiyo inaendeshwa na jeshi la polisi  kikosi
cha Usalama barabarani,Vodacom Tanzania na kwa vyombo vya habari vya kampuni ya
IPP .


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg7xUOahn-_VZcNH6opjTP3RUyVL08lWVTrAGMyJqfpLChXM57DfPBDEttEke-pvGwXI3NBAOLwJD3v294XlrEi_s2BbkjvGCbYPPYe-Gwtn81ww7pV6q5sGlaaAWhQTjGTGzHowY4xO7ui/s1600/002.ROAD.jpg


 Mkuu
wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani Kamanda Mohamed Mpinga (kulia)
akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn
Mworia (kushoto) kuhusiana na  kampeni ya
kuzuia ajali barabarani inayojulikana kama“Zuia
Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” kupitia namba 0800757575,Katikati ni Mkurugenzi wa Radio One Stereo,
Deogratius Rweyunga.Kampeni hiyo inaendeshwa na jeshi
la polisi  kikosi cha Usalama barabarani,Vodacom Tanzania  na Vyombo
vya habari vinavyomilikiwa na kampuni ya IPP .



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfhnfvxQtxbkAvCbiB_DGXjvEyCunxSVYgMpvMgqahXvclsePzkHcybcWFza939HsNURDoGaRtAPefzIDnOTCBShdYHajO6jJpwbuBZ1UPsZvyEkhywjawoPY0pTcjGUlxuVEEPPDl6EvC/s1600/003.ROAD.jpg

Mkurugenzi wa Radio One Stereo, Deogratius Rweyunga(katikati)akishuhudiwa na
Mkuu wa jeshi la polisi kikosi cha Usalama Barabarani Kamanda Mohamed Mpinga(kushoto) Rosalynn Mworia
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania akibandika stika yenye namba 0800757575
ambayo imetolewa mahususi kwa
abiria wanaotumia vyombo vya moto kusafiria kutoa taarifa bure kupitia
namba hizo wakati wa uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama
“Zuia Ajali Sasa,Toa Taarifa Mapema” Kampeni hiyo
inaendeshwa kwa usirikiano baina ya  Jeshi la Polisi  kikosi cha Usalama
barabarani,Vodacom Tanzania na vyomo vya habari vinavyomilikwa na
kampuni ya  IPP.

No comments:

Post a Comment