Mbunge auawa Somalia
Watu waliojihami na silaha nchini Somalia wamemuua kwa kumpiga risasi
mbunge mmoja na kumjeruhi vibaya mwingine kwenye mji mkuu wa nchi hiyo
Mogadishi.
Kundi la wanamgambo la Al-Shabaab limetekeleza mauaji ya wabunge wengi nchini Somalia wakati wanapojaribu kuipindua serikali ya Somalia inayotambuliwa kimataifa.
No comments:
Post a Comment