Raia
nchini Ethiopia wanapiga kura hii leo kwenye uchaguzi wa kwanza mkuu
tangu kifo cha kiongozi wa muda mrefu wa nchi hiyo aliyekuwa waziri mkuu
Meles Zenawi.
Mrithi wa bwana Zenawi Hailemariam Desalegn, anatarajiwa kupata ushindi mkuwa.Chama chake kimekuwa madarakani tangu mwaka 1991 na uchumi wa Ethiopia uko katika hali nzuri.
No comments:
Post a Comment