Wednesday, 27 May 2015

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI UTALII NA MICHEZO AKUTANA NA BALOZI WA MALAWI ZANZIBAR.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjQ1YazIa4_UkDe2F8C3nZ8q21m2GQ9309RRUWWdsR5e-i4nxjcqJ4w5o0c2LKjTsT5N93cJhbkCgCzuQyJXnvK5BLjQ1P7iY5iHl7cecOeRhrY-N8d4jycQ3bBKW7HKXLY52t4I-op2lfZ/s1600/DSC_0409.JPG


  Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk  akisalimiana na Balozi wa Malawi Nchini
Tanzania Hawa O. Ndilowe wakati alipowasili Ofisini kwake kwaajili ya
kujitambulisha pia na kuzungumzia masuala mbalimbali kuhusuUtalii Zanzibar.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHXA-QM4H-MFdDz8Ijd0q5mPL4BCaljXm3QUjwRbQboUx9S2qf9dQPfGfOPxBd3czx4-evmvE_FME0S31oBEOqIFoHEg7zFTWWDh9zZBx_cBsus0Sz_Voy-a3tu6-3t9Ddcu9ftmG5XKA3/s1600/DSC_0445.JPG

 Afisa
Ubalozi anaeshughulikia masuala ya Uchumi Tanzania Chinvano Kapeleta
akizungumzia masuala ya Uchumi na Utalii na Viongoizi wa Wizara ya
Habari Utamaduni Utalii na Michezo Zanzibar.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKPPYxystXj1vryzucKdaPy5U7iuu5rO1gKZ3L3QqvhSvWAddIXYRv6CsrqW2sBGz0Uv44dNV59p7YqsDZRDE_GZA2iYOjqYpUZ0-4FStL1XMqXUFjhGlmaPWk80aEb9qz31qBuuG60LC6/s1600/DSC_0451.JPG


 Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk akifafanua jambo katika mazungumzo na Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Hawa O. Ndilowe wakati walipokutana Ofisini kwake Zanzibar.


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg9xUZ6CeKfPLJyuS7SHY_T25-d0VnUmU2oKDXZCy23mpAemd330vIPDO65cm4maDNnutlMMhPIP99RM79KOSU-oFxP4tBMtWIqef_iBJ5E7N5o5jtUNZ2sceEzBCgfxqVqZtp2u59XUXde/s1600/DSC_0469.JPG
Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk katikati akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Malawi Hawa O.Ndilowe kulia yake na
baadhi ya viongozi waliofika Ofisini kwake Zanzibar.PICHA ZOTE NA MIZA OTHMAN-HABARI MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment