RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA NEC MJINI DODOMA LEO. KIKAO HICHO ALIKIFUNGUA JANA
May 24, 2015
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiingia ukumbini kuendesha Kikao cha
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, mjini Dodoma leo. kulia ni Katibu Mkuu
wa CCM, Abdulrahman Kinana.
Wajumbe wakiwa wamesimamaukumbini kumlaki Kikwete alipoingia ukumbini kuendesha kikao hicho leo |
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini Dodom. |
No comments:
Post a Comment