Na Gurian Adolf
Katavi
WAZIRI wa ujenzi uchukuzi na
Mawasiliano mhandisi Isack
Kamwelwe ameyaagiza
Makampuni ya ujenzi kuhakikisha kuwa
wanamwagia maji kwenye
sehemu za makazi ya watu
pindi wanapokuwa wakitengeneza
barabara ili kuwaondolea
vumbi na kuwaepusha na magonjwa .
Alitoa agizo hilo jana kwa nyakati
tofauti katika maeneo ya Majalila
Wilayani Tanganyika na
katika Kijiji cha
Inyonga Wilayani Mlele mkoani Katavi wakati akikagua ujenzi wa
barabara kwa kiwango cha lami kutoka Mpanda mkoani katavi
hadi sikonge Mkoani Tabora.
Alisema kuwa kumekuwa
na tabia ya wakandarasi wa makampuni ya
kichina wanaotengeneza
barabara kwenye maeneo
mbalimbali hapa nchini kutomwagilia
maji kwenye maeneo ya
makazi wanayoishi watu hivyo kuwasababishia kero kubwa ya vumbi.
Alisema kuwa ni wajibu wa
kila kampuni inayotengeneza barabara
kumwagia maji kwenye maeneo
wanayoishi watu kwani
kwenye mikataba yao wanatakiwa kufanya
hivyo na wanalipwa
fedha na Serikali hivyo
swala la uwagiliaji wa maji ni la lazima.
Waziri huyo alisema kuwa
matokeo ya kutomwagia maji
kwenye maeneo ya
makazi kwanasababisha wananchi
kupata maradhi ya ugonjwa
wa vifua na mafua.
Alisema kuwa licha ya ujenzi
wa barabara ya
Mpanda Tabora kwa
kiwango cha lami pia serikali imepanga kutengeneza
barabara yenye urefu wa
kilometa 128 kwa kiwango cha lami kutoka Mpanda hadi
Karema mwambao mwa ziwa
Tanganyika Mkoani Katavi .
Aliongeza kuwa barabara hiyo ni
muhimu sana kwaajiri ya kusafirisha
mizigo kwenda nchi ya Demokrasia ya
Kongo kupitia bandari inayojengwa
karema kwani lengo la
Serikali ni kutaka kusafirishia
mizigo kupitia bandari ya
karema kwenda kwenye
miji ya Momba na
Karemii nchini Kongo .
Pia
alisema serikali imepanga kuanzisha safari za
ndege katika uwanja wa
ndege wa Mpanda ifikapo
mwezi desemba mwaka
huu baada ya Wizara ya
ujenzi na uchuzi na mawasiliano
kuagiza magari sita
ya zima moto
ambapo moja litapelekwa uwanja wa
ndege wa Mpanda na safari
za ndege kutoka Dares
salaam hadi Mpanda
kwani tatizo lilikuwa
likisababisha kutokuwepo safari za
ndege ilikuwa ni uwanja wa Mpanda kutokuwa na
gari ya zima moto .
Alisema kuanza
kwa safari za ndege
kutasaidia watalii
kuongezeka katika hifadhi ya
Katavi kwani walikuwa wanashindwa kwenda
kwa wingi kutokana na kutokuwepo kwa usafiri wa
ndege.
Naye Meneja wa TANROADS mkoa wa Katavi
muhandisi Martin Mwakabenda
alisema kuwa kumekuwepo na changamoto
mbalimbali kwenye ujenzi wa barabara ya kutoka Mpanda
kwenda mkoani Tabora yenye
urefu wa Zaidi ya kilometa
340 inayotarajiwa kukamilika
baada ya miezi
36.
Alitaja
baadhi ya changamoto kuwa ni
wizi wa mafuta unaofanywa
na watumishi wasio
waaminifu wa vibarua wanaoshirikiana na
wananchi wanaoishi jirani
na Kambi za
ujenzi wa barabara .
Mmoja wa wakazi wa
Kijiji cha Inyonga John Samoja alimweleza Waziri Kamlwelwe kuwa wamekuwa
wakipata tabu sana kutokana na vumbi kwenye maeneo
wanayoishi hivyo wanaomba
wakandarasi wawe watii agizo la waziri siku zote na si tu kumwagia maji pindi
wanapo sikia waziri anafanya ziara ya kukagua barabara wanazo jenga.
MWISHO
Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.
ReplyDeleteNiliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159
Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.
Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.
Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.
Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.
Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.
Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi
I want to give a testimony on how I got cured from Herpes Virus. Few months back I was having some symptoms. I went to see a doctor and many blood tests were done on me, later on I was told I had Herpes. My doctor told me that there’s no cure for Herpes. I felt bad, I went online searching for a possible cure for Herpes Virus, I saw a post of Dr. Dawn, a herbal doctor that’s helping people get cured from Herpes.Cancer.HIV and more I contacted him and told him how I’m feeling. He said his herbal medicine can cure me. He sent me the medicine via UPS delivery service and I received the medicine 6 days after he sent it, i took the medicine as prescribed by him. Before I completed the medication the symptoms stopped. I went to the doctor and carried out another blood test, surprisingly I was Negative. I haven’t had any symptoms anymore. Dr. Dawn is great and you can
ReplyDeletecontact on WhatsApp: +2349046229159
Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )
If you need herbal medicine to cure any chronic or sexual transmitted disease's like.
HERPES.
CANCER.
HIV/AID'S and more