Na Gurian Adolf
Katavi
BARAZA la madiwani la Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi limeshauri itolewe elimu kwa wanafunzi wa shule za Sekondari na Msingi katika manispaa hiyo ili wajiepushe na tabia ya kunua wakina dada wanaouza miili ya maarufu kama dada poa ili kuwakinga na magonjwa mbalimbali ya ngono.
Ushauri huo ulitolewa jana kwenye kikao cha baraza la madiwani la manispaa hiy o kilichofanyika katika uk umbi wa mikutano wa manispaa ya Mpanda kilic hoongozwa na Meya wa Manisp aa hiyo Willy Mbogo.
Awali katika kikao hicho Mwenyek iti wa kamati ya kudhibiti ukimwi Lucas Kanoni wakati akiwasilisha taarifa ya kamati hiyo alisema kuw a biashara ya akina dada ya kuuza miili yao imekuwa ni tishio kubwa hivi sasa katika Manispaa hiyo .
Alisema kuwa madada poa ha o kwasasa wameanza kufan ya biashara ya kuuza mili yao kwa kujishusha na kuan za kufanya ngono na wanafu nzi wa shule hadi za msingi jambo ambalo ni hatari kwa watoto hao kutokana na kuwepo kwa magonjwa ya ngono kama ukimwi.
Kanoni alisema kuwa yapo maeneo mbalimbali katika Man ispaa hiyo ambayo yamekuwa ni maarufu kwa biashara hi yo ambayo aliyataja kuwa ni mtaa wa Fisi ulioko katika Kata ya Majengo B ,M taa wa Simba ulioko Kata ya Majengo B, Kakese na Mwamkulu .
Naye diwani wa Kata ya Kashaulili Joh n Matongo aliliambia baraza hilo la madiwani kuwa hivi sasa elimu ni muhimu ikatol ewa kuanzia shule za msingi ili kuwaelimisha wanafunzi wawez e kuacha kuwa wateja wao na pia kujikinga magonjwa ya ngono.
Alisema endapo hatua za haraka hazitachukuliwa k utokana na kushamilikwa bia shara hiyo upo uwezekano mkubwa wa kuongezeka kwa mitaa mingine ambayo haina sifa ya biashara hiyo ya dada poa kama ili vyo kwa mitaa ya simba na fisi .
Kwaupande wake meya wa Manispaa ya Mpand a Wily Mbogo alisema kuwa ni vema watoto waanze kufundishwa toka wakati wakiwa wadogo wakiwa mashuleni kutojihusisha na kufanya mambo ambayo hayalingani na umri wao kama vile kufanya ngono.
Alifafanua kuwa endapo kama hawatapewa elimu mapema ya kujiepusha na kufanya n gano wakiwa na umri mdogo upo uwezekano wa kupata maambukizi ya vvu.
Katika kikao hicho mkuu wa Wilaya ya Mpanda Lili an Matinga alisema kuwa kwa sasa Mkoa wa Katavi ni miongoni mwa mikoa yenye maambukizo ya vvu kwa kiwango cha juu ya wastani wa Kitaifa .
Alisema maambukizi ya vvu kwa mkoa wa Katavi ni asilimia 5.9 wakati wastani wa kitaifa ni asilimia 5.9 hivyo mkoa huo uko juu ya wastani wa maambukizi ya Kitaifa.
Aliongeza kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu sasa wast ani huo wa maambukizi ume kuwa upo pale pale bila kushuka jambo ambalo ni hatari kwa wananchi endapo hawata bad ili tabia.
Ndiyo maana serikali imepa nga kufanya utafiti kwenye mikoa mitano yenye maambukizi makubwa ya maambukizi ya vvu ambayo ni Songwe, Katavi Njombe ,Mbeya na Kigoma.
Mwisho
Ukiwa umefanya kazi maisha yako yote kujenga familia na urithi, huwezi kuruhusu kivuli cha mtu wa tatu kiiharibu katika miezi michache tu. Niligundua kuwa mabadiliko ya ghafla ya tabia ya mume wangu yalikuwa kuingiliwa kiroho, si tu mgogoro wa katikati ya maisha.
ReplyDeleteNiliwasiliana na Mystic Kakaa kwa ajili ya uingiliaji kati wa kibinafsi. Kazi yake ilikuwa ya upasuaji. Alitambua kivuli na kukiondoa kabisa bila drama yoyote ya umma. Ndani ya siku 5, umakini wa mume wangu ulirudi nyumbani kwetu na katika mustakabali wetu. Ikiwa unalinda maisha yenye thamani kubwa na unahitaji bwana anayeelewa busara, wasiliana naye kwa: dawnacuna314@gmail.com
WhatsApp: +2349046229159
Yeye ndiye kiwango cha dhahabu.
Kwa uchawi wa upatanisho wa uhusiano/ndoa.
Uchawi wa kumfanya mpenzi wako wa zamani/mwenzi wako aombe msamaha.
Uchawi wa kumrudisha mpenzi wako/kumvutia mpenzi mpya.
Uchawi wa kurejesha mali/pesa zilizoibiwa.
Mabadiliko ya umbo/Uchawi wa kutoweka.
Uchawi wa kushinda bahati nasibu/kesi ya mahakama. Na zaidi
I want to give a testimony on how I got cured from Herpes Virus. Few months back I was having some symptoms. I went to see a doctor and many blood tests were done on me, later on I was told I had Herpes. My doctor told me that there’s no cure for Herpes. I felt bad, I went online searching for a possible cure for Herpes Virus, I saw a post of Dr. Dawn, a herbal doctor that’s helping people get cured from Herpes.Cancer.HIV and more I contacted him and told him how I’m feeling. He said his herbal medicine can cure me. He sent me the medicine via UPS delivery service and I received the medicine 6 days after he sent it, i took the medicine as prescribed by him. Before I completed the medication the symptoms stopped. I went to the doctor and carried out another blood test, surprisingly I was Negative. I haven’t had any symptoms anymore. Dr. Dawn is great and you can
ReplyDeletecontact on WhatsApp: +2349046229159
Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )
If you need herbal medicine to cure any chronic or sexual transmitted disease's like.
HERPES.
CANCER.
HIV/AID'S and more
Sikuwahi kuamini kitu kama hiki kingeweza kunitokea hadi ndoa yangu ilipokaribia kuisha kabisa.
ReplyDeleteMume wangu alibadilika ghafla. Mwanaume ambaye hapo awali alinipenda na kunijali akawa baridi, asiyejali, na mwenye hasira bila sababu. Aliacha kuonyesha nia katika ndoa yetu, akaniepuka kabisa, na hatimaye akaniomba talaka. Nilivunjika moyo kwa sababu nilimpenda mume wangu kwa moyo wangu wote.
Mambo yalizidi kuwa mabaya aliponizuia kila mahali — WhatsApp, Facebook, Instagram — kana kwamba sijawahi kuwepo. Nililia kila usiku nikijiuliza nilifanya nini kibaya.
Siku moja, rafiki wa karibu alinitembelea na kunitambulisha kwa mtu wa kiroho anayeitwa Dkt. Dawn. Kwa kweli, mwanzoni nilikuwa na shaka, lakini niliamua kumweleza kila kitu kwa sababu sikuwa na chochote cha kupoteza.
Dkt. Dawn alinisomea mambo ya kiroho, na nilishtuka. Alifichua siri kuhusu ndoa yangu na maisha yangu binafsi ambayo hakuna mtu aliyejua. Kila kitu alichosema kilikuwa sahihi 100%. Kisha akafichua kwamba mwanamke mwingine alikuwa amemloga mume wangu. Mwanamke huyu alikuwa akimtembelea mara nyingi, na kwa upumbavu niliamini ilikuwa kuhusu kazi tu.
Dkt. Dawn alinisaidia kuvunja uchawi na akafanya ibada yenye nguvu ya kurejesha upendo kwa ndoa yangu.
Kwa mshangao wangu mkubwa, muda mfupi tu baadaye, mume wangu alinifungulia kizuizi mwenyewe na kuanza kunipigia simu na kunitumia ujumbe mwingi, akiniomba nimsamehe na nirudi nyumbani. Mwanzoni nilimpuuza kwa sababu ya maumivu aliyonisababishia, lakini hatimaye alirudi nyumbani akiwa na zawadi na machozi machoni mwake akiomba nafasi nyingine.
Leo, ndoa yetu ni imara zaidi, yenye furaha zaidi, na yenye amani zaidi kuliko hapo awali. Mapenzi kati yetu yanahisi upya kabisa.
Kana kwamba hiyo haitoshi, Dkt. Dawn baadaye alinisaidia na ibada ya ujauzito kwa sababu tulikuwa tumejitahidi kwa miaka mingi kupata watoto. Ndani ya wiki 8, nilipata mimba kiasili, na leo tumebarikiwa na wavulana wawili wazuri wenye afya njema.
Nitaendelea kushukuru milele.
Ukihitaji: Uchawi wa mapenzi wa kuungana tena na mpenzi wako wa zamani
. Usaidizi wa kurejesha ndoa
. Tamaduni za ujauzito za kupata mimba
. Usaidizi wa kiroho kwa kesi za mahakamani au kupona urithi
. Mwongozo na ulinzi wa kiroho
Ninapendekeza sana Dkt. Dawn. Ushuhuda wangu ni wa kweli, na furaha yangu leo ni uthibitisho. WhatsApp yake: +2349046229159
dawnacuna314@gmail.com