Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
akipokea Hundi ya Tanzania Shilingi billioni 12.3 kutoka Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe. Saoud Al Ruqaishi ikiwa
ni msaada kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa kwa kiwanda cha upikaji Chapa
(kushoto Balozi Mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe, Ali Abdulla
Al-Rashdi hafla ya makabidhiani ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana. (Picha na Ikulu).
NYOTA YA LOWASSA YAZIDI KUNG’ARA AWAPIKU WENZAKE KWA ASILIMIA 20 NI KATIKA KUWANIA URAIS WA TANZANIA
Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Samunge Social Research Centre, George Nyaronga kutoka Chuo Kikuu Huria (OUT). |
No comments:
Post a Comment